Aibu: Waziri mkuu hadi Dec imepeleka bil 90 za dawa na kila mwezi wanapelaka mil 20 kwa Halmashauri

Na bado mtacgana kwa kauli zenu za uongo, mpaka serikali ya ccm ifarakane km wajenzi wa babeli.mlidhani maandiko yaliishia enzi za ujenzi wa babeli ? Neno linaishi hadi leo,na nilazima litumie kwenu ccm ,mnaochukua madaraka ya Mungu ya kulipiza kisac ! Imeandikwa kisac ni juu yangu.yaani ni hivi,nyie ccm,kisac ni juu ya Mungu pekee.ss leo nyie shabiki wa Lowasa/aliyemuunga mkono Lowasa au upinzani mnamlipiza kisac,kwa madawa ya kulevya bila upelelezi yakinifu,walala hoi mnatuua njaa,dawa hakuna,watt wetu mmewanyima elimu,nyumba mmetuvunjia,mnajineemesha nyie tu.ss subirini hacra ya Mungu iwavagae.
 
Kama hujui jambo waulize watu humu watakujuza. Tofautisha kati ya bajeti ya wizara ya afya na bajeti ya dawa. Bajeti ya dawa ni subset ya bajeti ya wizara ya afya. Shuhulisha kichwa hata kidogo tu kwa kupitia taarifa zilizoko kwenye websites. Usipofanya hivyo utaambiwa jua litadondoka kesho na wewe utakuja humu na kusema jua litadondoka kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…