Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,601
- 375
Huu ni uchochezi dhidi ya jeshi la polisi, je ushahidi unao?Aibu kwa Jeshi la Polisi, kumbe mtandao wa wezi wa vifaa vya magari unajulikana. Kuna madon hawa wao ndo wanajua wezi wote wa vifaa vya magari kutoka kila sehemu Dar es Salaam. Mtu utalazimika kununua vifaa vyako hata vikiwa na alama. Gerezani ndo terminal point kwa vifaa vyote. Kwa nini hili liendelee wakati jeshi la polisi likiendelea kulipwa kutokana na kodi zetu. Karibuni wadau tudadavue.
mheshimiwa alikuwa anaongea itv muda mfupi uliopitaHuu ni uchochezi dhidi ya jeshi la polisi, je ushahidi unao?
Ameshindwa tu kutoa credit kwa chanzo cha habari yake, lakini hiki kipindi kimeisha tu hivi punde ITV. Nimechelewa kulala coz nilivutiwa na kipindi, kweli usalama wa vitu na mali zetu upo rehani.Huu ni uchochezi dhidi ya jeshi la polisi, je ushahidi unao?
INTERESTING.Gerezani wezi wote wa spares za magari wako pale
kwa miaka zaidi ya 40
ni biashara ya mda mrefu
Sio mbaya kwa watukujipatia riziki kwa njia hiyo sababu umasikini umekithiri na wenye nazo hawawajali walalahoi,kwa hiyo ni kugawana kilichopo ili maisha yaendelee ,mkiwabana watu wakakosa mwanya wa kutafuta dona na dagaa iko siku wataingia msituni na kuunda kikosi kazi ,halafu hapatakalika kama Somalia na YEMENI .Aibu kwa Jeshi la Polisi, kumbe mtandao wa wezi wa vifaa vya magari unajulikana. Kuna madon hawa wao ndo wanajua wezi wote wa vifaa vya magari kutoka kila sehemu Dar es Salaam. Mtu utalazimika kununua vifaa vyako hata vikiwa na alama. Gerezani ndo terminal point kwa vifaa vyote. Kwa nini hili liendelee wakati jeshi la polisi likiendelea kulipwa kutokana na kodi zetu. Karibuni wadau tudadavue.
Bora ungenyamaza kama huna pointi au kama wewe ni polisi basi ungeacha watu tuchangie. Ni suala lisilo hitaji ushahidi, na ninashangaa kwa nini waziri husika yupo kimya juu ya hiliHuu ni uchochezi dhidi ya jeshi la polisi, je ushahidi unao?
Ushahidi ni kipindi cha uchunguzi kamili kilichorushwa leo na ITV kuanzia saa nne kamili usiku.Huu ni uchochezi dhidi ya jeshi la polisi, je ushahidi unao?
Siku utakapokuwa mhanga wa janga hili utaelewa ni nini ninachojaribu kukisema.Sio mbaya kwa watukujipatia riziki kwa njia hiyo sababu umasikini umekithiri na wenye nazo hawawajali walalahoi,kwa hiyo ni kugawana kilichopo ili maisha yaendelee ,mkiwabana watu wakakosa mwanya wa kutafuta dona na dagaa iko siku wataingia msituni na kuunda kikosi kazi ,halafu hapatakalika kama Somalia na YEMENI .
Mimi niliibiwa Mwenge laptop pamoja na ipad mbili, nikawahi polisi mabatini na mpaka leo sijapta chochote. Sanasana niliambulia kupata msamiati wanaotumia kwa suala kama hilo. Wanaita "PWEZA".Inasemekana pia kwamba ukiibiwa kitu kwenye gari yako pale mlimani city (Laptop etc) na ukawahi faster Mabatini police, vitu vyako utavipata tena - ofcourse, kwa kuvinunua kwa mara nyingine.