Huyu jamaa keshajiwekea heahima yake.Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Ana malengo makubwa, sitashangaa nikimuona world cup anachezesha.Huyu jamaa keshajiwekea heahima yake.
Una uhakika mastaRefa la Yanga
Hauna timu ya kumfunga YangaSafari hii Nyuma mwiko lazima wapigwe tu hakuna na na
100%Una uhakika masta
Weka ushahidi100%
Acha mbamba wee mzeee...Arajiga unastahili kuchezesha mechi hii kwakua kwasasa wewe ni bora ila naomba urekebishe eneo dogo tu.
Marefa wakubwa duniani uwa kabla ya mechi uangalia wachezaji wale wanao tarajiwa kucheza katika mechi tano za nyuma wana tabia gani za utata zinazo weza kumwalibia refa mechi yake.
Mimi naomba refa Arajiga na wasaidizi wako muangalie kwa makini tabia za baadhi ya wachezaji hasa Yusufu Kagoma , Ngoma na (Mzamiru kwasasa ua hapati nafasi)
Wanatabia za kucheza rafu pindi wanapohisi kuzidiwa ki mchezo.
Siwasingizii naomba muangalie mechi tano za nyuma mtanielewa
Kuna Tabia ya Shomari kapombe Kibu na Mpanzu kujiangusha ili wapewe Penalty au Kucheza rafu alafu nayeye kujiangusha especially (Kapombe)ili kuzuga asi adhibiwe na wanefanikiwa sana katika eneo ilo.
Wachezaji hawa katika kuhadaa marefa wamefanikiwa na kuwasababishia marefa lawama nyingi baada ya mechi husika.
Ninacho shauri, Mpira haukosi migusano ila kama refa angalia dhamira ya mchezaji husika na usisite kutoa maamuzi.
Kabla ya mechi uwaite ma Captain na kuwaeleza au mchezaji husika kadri mchezo unavyo endelea.
Usiogope Lawama, kikubwa chezesha kwa haki , kama ukiona timu mmoja imesha tandikwa zaidi ya goli tano uwe na roho ya kibinadamu ili kupunguza maafa ya nje ya uwanja.
Kuna baadhi ya mashabiki awawezi kuhimili kipigo kikubwa .
Jitahidi sana kuwasikiliza wasaidizi wako mnaunda pair bora kabisa uwanjani.
Tunategemea uamuzi bora kabisa na wa Haki kutokea kwenu.
Aucho ndio mchezarafu mashuhuri na mwenzake Baka, Arajiga asipepese machoArajiga unastahili kuchezesha mechi hii kwakua kwasasa wewe ni bora ila naomba urekebishe eneo dogo tu.
Marefa wakubwa duniani uwa kabla ya mechi uangalia wachezaji wale wanao tarajiwa kucheza katika mechi tano za nyuma wana tabia gani za utata zinazo weza kumwalibia refa mechi yake.
Mimi naomba refa Arajiga na wasaidizi wako muangalie kwa makini tabia za baadhi ya wachezaji hasa Yusufu Kagoma , Ngoma na (Mzamiru kwasasa ua hapati nafasi)
Wanatabia za kucheza rafu pindi wanapohisi kuzidiwa ki mchezo.
Siwasingizii naomba muangalie mechi tano za nyuma mtanielewa
Kuna Tabia ya Shomari kapombe Kibu na Mpanzu kujiangusha ili wapewe Penalty au Kucheza rafu alafu nayeye kujiangusha especially (Kapombe)ili kuzuga asi adhibiwe na wanefanikiwa sana katika eneo ilo.
Wachezaji hawa katika kuhadaa marefa wamefanikiwa na kuwasababishia marefa lawama nyingi baada ya mechi husika.
Ninacho shauri, Mpira haukosi migusano ila kama refa angalia dhamira ya mchezaji husika na usisite kutoa maamuzi.
Kabla ya mechi uwaite ma Captain na kuwaeleza au mchezaji husika kadri mchezo unavyo endelea.
Usiogope Lawama, kikubwa chezesha kwa haki , kama ukiona timu mmoja imesha tandikwa zaidi ya goli tano uwe na roho ya kibinadamu ili kupunguza maafa ya nje ya uwanja.
Kuna baadhi ya mashabiki awawezi kuhimili kipigo kikubwa .
Jitahidi sana kuwasikiliza wasaidizi wako mnaunda pair bora kabisa uwanjani.
Tunategemea uamuzi bora kabisa na wa Haki kutokea kwenu.
Hao wapumbavu wanadhani sisi hatuangaliagi mpira...Aucho ndio mchezarafu mashuhuri na mwenzake Baka, Arajiga asipepese macho
Mkuu umeshauri vizuri sanaa ila tatizo umekua Bias hapo ndo umeharibuMarefa wakubwa duniani uwa kabla ya mechi uangalia wachezaji wale wanao tarajiwa kucheza katika mechi tano za nyuma wana tabia gani za utata zinazo weza kumwalibia refa mechi yake.