Football
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,522
- 5,667
Najua wengi itakua ngumu kunielewa.
Huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana. Hivi hamjiulizi kila siku anaropoka vitu nje ya uwanja ila ndani ya uwanja timu inachofanya nadhani mnakijua halafu baada ya mchezo analeta maneno mengine ya uongo uongo na wanasimba mnaridhika kabisa.
Huyu jamaa ni chawa wa Mo na anafanya hivi Ili kuwapoteza maboya halafu wengi mnamsema Mangungu wakati Mangungu pale yupo kama picha tu. Nina ushahidi 100% anafurahia kinachoendelea Simba huku anaingiza pesa.
Ahmed Ally ni Yanga damu na mtateseka sana sababu hamtapata mbadala, Ahmed anajua kuzima maneno ya mashabiki ambao ni mbumbumbu kama rage alivowaita