True say but hata okejepha shughuli hiyo anaiweza anaweza kupiga pasi vizuri,anakaba vizuri. Nadhani apewe game time ili asiue confidence yake.Ngoma jana katuliza sana kiungo .Na hakuna mchezaji mwenye uhakika wa namba katika Simba hii ukimtoa Spider Camara. Wengine wote wanatakiwa wajitume mazoezini ili waweze kupata nafasi ya mechi.
Kocha anajitahidi kuwapa nafasi wachezaji wote.
Wote watapewa time. Mechi ziko nyingi ondoa shaka. Tambua kwamba injuries zikiwepo, timu haitakiwi kuyumba.True say but hata okejepha shughuli hiyo anaiweza anaweza kupiga pasi vizuri,anakaba vizuri. Nadhani apewe game time ili asiue confidence yake.
Awesu ni mzuri sana katika kupiga pasi za mwishoNgoma angechezeshwa kama 10 akishare dakika na Ahoua. Ateba hana watu wa kumlisha mipira ya kumuwezesha kufunga kirahisi na Ngoma ni mzuri sana katika kupiga pasi mpenyezo.
Awesu na Ngoma wanatakiwa washee dakika na AhouaAwesu ni mzuri sana katika kupiga pasi za mwisho