gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,180
- 2,786
Hongereni sana kwa ushindi wanamsimbazi..!! Kuleni shushu wanamsimbazi bila bugdha. Nimeshindwa kumuelewa kabisa mwalimu fadlu kwanini anaanza na ngoma ambaye umri umeenda(veterani),hana kasi,uwezo wake wa kukaba ni mdogo kwasababu kiuhalisia sio kiungo namba 6 wakati anaye okejepha mwenye kasi,uwezo wake wa kukaba ni mkubwa kwasababu ni kiungo mkabaji kiasili. Jana azam walikuwa wanapita katikati kirahisi tu? Why fadlu? Why ngoma and not okejepha? Kakufanya nini starboy? "BADO TUNAJENGA TIMU".