Agizo la shule zote kuwa na mihula miwili lipo?

myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
158,009
687,285
Wakuu,

Nauliza hili agizo la shule zote za serikali na binafsi kuwa na mihula miwili lipo? Nimepata habari baadhi ya wamiliki wa shule binafsi wanapuuzia agizo hilo au kuna mabadiliko?
 
mihula ikitoka kwa afisa elimu mkoa shule zote za mkoa huo zinazofuata mtaala wa serikali zinapaswa kufuata. Mahala hapo kuna wakaguzi wa shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…