Afrika Mashariki yatumia Mkutano wa FOCAC nchini China kumfanyia kampeni Raila Odinga kupata Cheo Umoja wa Afrika

Nimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU

Kwanini kampeni ifanyike China? 🐼
nadhani ni sahihi na ilikua fursa ya kipekee na jukwaa muhimu zaidi kufanya hivyo, hasa kwa Jumuiya ya Africa Mashariki ambayo tayari imeamua kusimama na Raila, na hivyo basi kutumia kila nafasi kuwashawishi viongozi wengine wa Africa na kanda na kanda zao, kumuunga mkono Raila Amolo Odinga ili apate fursa hiyo muhimu sana kwa manufaa ya EAC na Africa kwa Ujumla 🐒
 
Nimeshangaa sana akina Kagame kutumia mkutano wa China na Africa kumfanyia kampeni Raila Odinga kwenye kimyang'anyiro Cha mwenyekiti wa Kamisheni ya AU

Kwanini kampeni ifanyike China? 🐼
Wajinga wamekusanyika huko, ni nafasi muafaka kuingiza ujinga hapo hapo! The Africans by David Lamb

1725520593046.png
 
Back
Top Bottom