Afrika Kusini ni pazuri ila ni hatari

Blaszczykowski

JF-Expert Member
Dec 20, 2022
304
1,058
Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika

Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein. Uhalifu unaojulikana zaidi katika kila moja ya miji hii, ikiwa ni pamoja na rushwa ya polisi, shambulio wizi wa kutumia silaha, na uharibifu.

Mtu mjuzi wa habari Awezi kuona Watanzania au bagradeshi Huuwawa sio Tu watanzania au wanageria Bali hadi wenye nchi mikwaju ya bunduki Hutembezewa. Ukichanganyisha waarifu wakubwa wakigeni na Wazaa wamekutana hapa shambulio na wizi wa kutumia silaha ni Pretoria na kwamba Durban ndio jiji lenye uhalifu mwingi zaidi wa uharibifu na wizi Kama wote.

Siraha nyingi sana mpaka vibaka wa simu 9mm zina wahusu, majambazi wetu wakubwa hutumia siraha za maana - Ak47, AR4, M16 na mabomu ya kulipua ATM na seva mbalimbali. Watu wengi huumiliki siraha wageni kwa waenyeji kuna mtu alisema

#comment
Ubaya au Ni mwema Sana yaani nchi ya SA criminals ndo mahali pake kuna uhuni kuna visasi kuna uporaji kuna madawa ya kulevya kwahiyo popote utembeapo usiutumie Uhuru wa Tanzania kuishi nao nchi hiyo umakini unahitajika cvyo mnaisha pia ili uishi miaka Mingi angalia kazi yenye usalama wa maisha yako namna ya kupata pesa kialali kwasabu huko swala la bastora sio police tu mwenye nayo hata raia anatembea nayo kama manati tu.

Lakini south Africa upande wa kwanza ni nchi salama nzuri kuishi na mambo mengi ni nafuu kwa yule mtafutaji maisha. Ni pazuri sana sehemu nyingi Ni Smati. Ulaya ikasome, na kwa masera ni chimbo Wamenyuti siku kadhaa wakiwa wanajipanga,k uruka nbele zaidi au kufurumusha mijengo nyumbani na mambo ya maendeleo mbalimbali

Mauaji mengi ya kuvizia ya matajiri wafanya biashara na visasi mbalimbali vya uhuni deile

Wageni wako kwenye atari zaidi kuibiwa hata kuuwawa special ukiwa na mshiko. Gari mali hapa chuki husika yani #bakubona_beza Tena kama unaishi na shemeji yetu omba duwa upate Mwanamke mzuri huku na sio
Rahisi wengi wanatamaa

Usalama
Chukua njia tofauti kwenda na kutoka kazini. Badilika nyakati za kuondoka, Tazama nje kwa ajili ya maeneo ya ukiwa, kusoma pointi ambapo barabara nyembamba, na miundo yoyote au alama muhimu ambazo zinaweza kutoa ulinzi kwa washambuliaji watarajiwa kuepuka maeneo ya kuvizia yanayoweza kutokea. Njia rahisi zaidi ya kushinda shambulio niili kuepuka tishio kabisa.

Kuwa na uwezo wa kumwona adui magari yanakuja karibu yako Always angalia kwa makini mara nyingi mashambulzi ya kuvizia hutokea gari baina ya gari dhidi ya washambuliaji wenye silaha lazima getaway haraka kwa gari. Ikiwa kuendesha gari imekuwa ngumu Mtu aliye ndani ya gari kupatikana Na shambulio ka bunduki ni rahisi sana, kioo inaweza kumaanisha tofauti kati ya maisha na kifo.

Usiwe mchokozi na mtu maneno mengi. Na kufanya biashara na watu sio waminifu. Na ikiwa unafanya na watu hao kuwa mtu wa usalama zaidi usijulikane na usiwe Mwepesi wapi unaishi wapi unapita. Uwe kama kivuli kisicho shikika mtu usiyooneka kama upepo lakini unaishi.

Kazi na watu hatarishi kisa unataka pesa inaweza kuwa mistake zaidi. Ikiwa ulianzisha ugomvi na mtu inaweza ikawa mbaya zaidi wengi wazawa au waaharifu Hapa hawana nguvu za mikono yani Kupigana hutegemea bunduki na sana sana kisu hata kisu piya sio wazuri hivyo Bado ni laini siraha ndio huwafanya wakali

Huwezi kufananisha na mtu wa bongo Ngumi jiwe,usiwe msera sana kupita kiasi kama usera iwe Fun tu na kama msera. Kuna kuuwa au kuuwawa na vikakuweka Jera

Kama umechokozwa au kuadiwa kuuwawa na mtu ambaye unamfahamu au humfahamu, chukua hatua kuhama kuepusha hatari AU kufanya plan naye adondoke kabla ajakudondosha, kuenewa si haki.

Ukiwa sniches daima_utakufa
#Fuck_sniches
 
Bram a.k.a bromfontein mpaka ile casino mwisho wa mtaa,hapa wamejaa wabongo wengi sanaaaa tena wale wa hatareeee,mpaka rosebank huku hua sisalimii wala sishuki wala siongei kiswahili ikitokea nimepita huko ni kwa bahat mbaya sanaaa
1. Bloemfontein nasikia pametulia au ndio balaa zaidi?
2. Niliwahi kwenda Cape town mji balaa ule kupigwa chuma ya mkund.u kawaida Sana.
 
Eeeh sasa itakuwaje na mimi ndio niko HARARE hapa Muda huu, na huko hakuna ninayemjua, nimejipigilia hapa nina kama RAND 50,000 nataka anza Maisha huko BLOEMFONTEIN, nishaulizia wadau Flat naweza pata hata kwa buku 1000 R nalipa miezi 3 kwanza.
Nakuja na ujuzi wa kuchomea, na Uashi.
NB nina Degree ya UHASIBU + Najua kutumia BUNDUKI Vizuri saaaaaaana.
 
Report ya mwaka 2016 inasema South Africa ni nchi ya pili Kwa uhalifu baada ya USA. Pia, report hiyo inasema Kila baada ya dakika mbili kuna uhalifu unatokea waweza kuwa aidha was kuuwa Kwa silaha au ubakaji. Huko siyo pa kwenda, kule wamepinda vibaya ! Hawamjui Wala kumwogopa Mungu
 
Mtu dhohari sana wa fikra wewe!

Nitafute dawa ya gono Jf hospitali sipajui?

Unapoibua mjadala wa maana kama huo, stahi watu kwa kuandika lugha sahihi na siyo viswahili vitarafa.

Sasa ukielezwa ukweli ili ubadilike unaanza kuleta mambo yako ya kaswende humu!
Sikuelewi
 
Eeeh sasa itakuwaje na mimi ndio niko HARARE hapa Muda huu, na huko hakuna ninayemjua, nimejipigilia hapa nina kama RAND 50,000 nataka anza Maisha huko BLOEMFONTEIN, nishaulizia wadau Flat naweza pata hata kwa buku 1000 R nalipa miezi 3 kwanza.
Nakuja na ujuzi wa kuchomea, na Uashi.
NB nina Degree ya UHASIBU + Najua kutumia BUNDUKI Vizuri saaaaaaana.
Una hatari sana.
 
Eeeh sasa itakuwaje na mimi ndio niko HARARE hapa Muda huu, na huko hakuna ninayemjua, nimejipigilia hapa nina kama RAND 50,000 nataka anza Maisha huko BLOEMFONTEIN, nishaulizia wadau Flat naweza pata hata kwa buku 1000 R nalipa miezi 3 kwanza.
Nakuja na ujuzi wa kuchomea, na Uashi.
NB nina Degree ya UHASIBU + Najua kutumia BUNDUKI Vizuri saaaaaaana.
Pm
 
Report ya mwaka 2016 inasema South Africa ni nchi ya pili Kwa uhalifu baada ya USA. Pia, report hiyo inasema Kila baada ya dakika mbili kuna uhalifu unatokea waweza kuwa aidha was kuuwa Kwa silaha au ubakaji. Huko siyo pa kwenda, kule wamepinda vibaya ! Hawamjui Wala kumwogopa Mungu
Ndan week mbili zilizopita watz zaidi 6 wamefatiki kwa kupigwa risasi
 
Back
Top Bottom