Eti Indonesia nayo inaitisha vikao na viongozi wa Afrika.
Wamefanya hayo Marekani, Rusia, Japani, Uingereza, nk.
Ni lini nchi moja ya Afrika itaitisha kikao na viongozi wa Ulaya au Asia? Yaani hao waje Afrika na ikibidi tuwaweke kwenye usafiri mmoja wakakutane na Rais wetu hapo Magogoni au Chamwino.