Habar zenu wana jf?
Nina mdogo wangu anataka kujiunga na diploma mwaka huu anafanya final ya certificate mwezi wa saba na mwisho wa kufanya application za kujiunga na vyuo ni 20 August, Je itakuaje kama tarehe hiyo itafika na chuoni kwake wakawa hawajatoa matokeo yake ya certificate ???? Kwa anayejua msaada please