L Ligas jr Senior Member Mar 22, 2024 171 159 May 5, 2024 #121 vvm said: huyu jamaa ni Afande wa wapi na nasikia alikua msanii anawimbo gani unao trend sasa ? Click to expand... Ulikuwaga jela?
vvm said: huyu jamaa ni Afande wa wapi na nasikia alikua msanii anawimbo gani unao trend sasa ? Click to expand... Ulikuwaga jela?
Ndengaso JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,632 13,873 May 5, 2024 #122 Ligas jr said: Ulikuwaga jela? Click to expand... Sidhani kama hili linaqualify kuwa jibu la maswali yangu.
Ligas jr said: Ulikuwaga jela? Click to expand... Sidhani kama hili linaqualify kuwa jibu la maswali yangu.
L Ligas jr Senior Member Mar 22, 2024 171 159 May 5, 2024 #123 vvm said: Sidhani kama hili linaqualify kuwa jibu la maswali yangu. Click to expand... Ni valid based on your qns, maana alitamba san miak ya 2000+++, how come wew humjui au sio MTANZANIA???
vvm said: Sidhani kama hili linaqualify kuwa jibu la maswali yangu. Click to expand... Ni valid based on your qns, maana alitamba san miak ya 2000+++, how come wew humjui au sio MTANZANIA???
Friji la mtumba Senior Member Apr 7, 2024 106 144 May 5, 2024 #124 Nyanje said: Kuna video ilisambaa akimtukana Mungu ni mtaji wa CCM huo Click to expand... Hakusema Mungu yupi anaemtukana
Nyanje said: Kuna video ilisambaa akimtukana Mungu ni mtaji wa CCM huo Click to expand... Hakusema Mungu yupi anaemtukana
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 May 5, 2024 #125 Toka avue nguo jukwaani bado anahitaji msaada
Faana JF-Expert Member Dec 12, 2011 36,863 42,239 May 5, 2024 #126 Retired said: sasa huyu ni mtu? Click to expand... 🤣😀 Kwa Chama chetu huyu ni hazina ukijumlisha na 👇 Maisha tumeyawini
Retired said: sasa huyu ni mtu? Click to expand... 🤣😀 Kwa Chama chetu huyu ni hazina ukijumlisha na 👇 Maisha tumeyawini
L Ligas jr Senior Member Mar 22, 2024 171 159 May 5, 2024 #127 kina kirefu said: Piga shule wewe Acha kupost ujinga wa babaako Click to expand... Ukweli kazungumza, pambaneni nao.
kina kirefu said: Piga shule wewe Acha kupost ujinga wa babaako Click to expand... Ukweli kazungumza, pambaneni nao.
L Ligas jr Senior Member Mar 22, 2024 171 159 May 5, 2024 #128 kina kirefu said: Piga shule wewe Acha kupost ujinga wa babaako Click to expand... Ukweli kazungumza, pambaneni nao
kina kirefu said: Piga shule wewe Acha kupost ujinga wa babaako Click to expand... Ukweli kazungumza, pambaneni nao
Ndengaso JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,632 13,873 May 6, 2024 #129 Ligas jr said: Ni valid based on your qns, maana alitamba san miak ya 2000+++, how come wew humjui au sio MTANZANIA??? Click to expand... Huenda Hajafanya chochote cha ziada tuzidi kumkumbuka...Labda ndio maana anashinda kutukana mitandaoni ili nayeye atrend...for a wrong reason.
Ligas jr said: Ni valid based on your qns, maana alitamba san miak ya 2000+++, how come wew humjui au sio MTANZANIA??? Click to expand... Huenda Hajafanya chochote cha ziada tuzidi kumkumbuka...Labda ndio maana anashinda kutukana mitandaoni ili nayeye atrend...for a wrong reason.
Nyanje JF-Expert Member Jul 25, 2013 607 513 May 6, 2024 #131 Friji la mtumba said: Hakusema Mungu yupi anaemtukana Click to expand... Unapulizia kinyesi pafyumu