Kuelekea 2025 Adhabu waliyopewa Nape Nnauye na January Makamba ni ndogo mno!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
1,009
2,469
Shalom.

Makada wa CCM Nape Nnauye na January Makamba wamefurushwa kutoka nafasi zao za Uwaziri. Kwamba sasa ni Wabunge tu wa Mtama (Lindi) na Bumbuli (Tanga).

Si mara ya kwanza kwa vijana hawa kusukumwa nje ya Baraza la Mawaziri ndani ya kipindi kifupi. Waliondolewa na Magufuli kwa kile kilichoelezwa kuwa ni "wapiga dili"; kwa kifupi ufisadi uliopindukia. Ninaamini sababu hiyo haijabadilika maana January Makamba anatajwa miongoni mwa mabilionea kwa sasa nchini. Hali kadhalika na Nape vivyo hivyo.

Hata hivyo safari hii sababu nyingine inatajwa kuwa ni kuacha majukumu yao kama mawaziri na kuanza kusuka safu za uongozi ikiwa ni pamoja na kutaka kumwondoa Rais Samia kupitia vikao halal vya chama kwa kutumia nguvu ya pesa waliyo nayo kwa sasa. Kwenye genre hili pia wanatajwa Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe (anayelindwa na kuhadi wa bandari RA) lakini pia anatajwa Ummy Mwalimu.

Kwamba hawaoni sababu ya kusubiri 2030 na badala yake wanautaka uongozi huo ambao next year. Well and good, wanayo haki ya kikatiba kusaka maharaja ya juu.

Lakini kwenye hili la ukwasi uliopitiliza nadhani kuwaondoa tu madarakani hakutoshi. Hii kwa mfano ukinipa madaraka ndani ya miaka 3 nikaiba 7bilion Tsh ukanitimua kazi nitaumia nini? Kwani si ndio nitashangilia kuzitumbua vizuri bila presha?

Maoni yangu, vijana hawa wachunguzwe ukwasi unaowapa kiburi wameupataje? Vyombo vya usalama viwachunguze Nape, January, Mwigulu. Bashe, Ummy na wengineo na wakibainika wafilisiwe na kuishia Kisutu kabla ya kutua Keko au Segerea. Kuna kila harufu na dalili kuwa vijana hawa wametumia vibaya madaraka yao na wasiishie kuzurura mitaani kusherekehea fedha za umma. Lakini pia wananchi katika majimbo yao wawakatae maana wamekosa uadilifu si tu Rais lakini pia kwa wapiga kura wao.

Huu utamaduni wa kwamba ukijambazi fedha za umma eti kuondolewa madarakani ndio adhabu ni utamaduni wa ovyo utakaozaa wezi wengi sana katika jamii. Hata vijana wetu wanaoinukia watajua adhabu ya wizi ni kuondolewa madarakani kwa hiyo unatakiwa uibe KWELI.

Miongoni mwa hao waliotumbuliwa jana amefanya "bonge la pati " Mbezi Beach jirani na anapoporomoshea hoteli ya kifahari. Hapa ni kwamba hawana pain yoyote kuondolewa Uwaziri na badala yake wanamng'ong'a Rais Samia Suluhu Hassan. Tuondoe utamaduni huu kama kweli tumedhamiria kujenga uwajibikaji. Samia ujumbe huu ukufikie Black and White.

Sabato Njema!

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
 
Unachan

Unachokisema unakijua vizuri Kwa undani wake kwamba ni mabilionea?au nikipi kinadhirisha hicho unachosema?
 
Hawashughulikiwi kwa sababu labda wanaogopa kutajana !

Rejea maneno ya Mzee wa Vijisenti kwamba mnashangaa hivi vijisenti vyangu ???!
Maana yake ilikuwa wengine wanazo za kweli kweli sio kama hivi vijisenti. 😳🙈🙌

Tutafika mbinguni tumechoka sana !
Katiba mpya bora ni muhimu sana tena sana 🙏🙌
 
Sema tuhuma nyingi hazina ushahidi, ni hearsay tu. Kuna jamaa aliniambia eti walikuwa wameshapanga mpaka waziri mkuu awe nani, na baraza zima la mawaziri wameshapanga. 😆😆😆 Mimi naona hizo ni story za vijiwe vya kahawa tu
 
Sioni wa kumkwamisha mama Samia 2025 ,hata akitaka kugombe tena 2030,njia nyeupe,anakubalika sana kwa sasa huyu mama
Kwa squad hii plus Lukuvi, Kabudi, Bashiru na Ndugai, mama akitoboa 2025 nitajisaidia uwanja wa Makapa. Hatoboi!!
 
Hao uliowataja hata kuzungumza Bungeni tu wanaogopa !

Wataanzia wapi kumpinga Mwenyekiti ambaye ndio Mkuu wa Nchi na ambaye ndiye Amiri Jeshi Mkuu ??!

Naona kwa uwanja wa Makapa itabidi uende ukatimize ahadi yako muda ukifika , no way !

Watu wanaogopa hata vivuli vyao ndio wamtingishe Mwenyekiti ???!
You must be joking 🙃
😂😂😂
 
tulia wewe, usinene ukamara
muda wa mauzauza haujafika
 
Unachan

Unachokisema unakijua vizuri Kwa undani wake kwamba ni mabilionea?au nikipi kinadhirisha hicho unachosema?
Unataka tuanike akaunti zao hapa na mali wanazomiliki? Tafuta Ripoti ya Dk. Bashiru Ally kuhusu mali za chama kwa muda wako usome kwa utuo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom