adhabu gani huendana na kunyanyasa watoto?

ngwilla

Member
Aug 12, 2013
82
7
wasalaam!
mwenye uelewa juu ya adhabu inayoweza kutolewa kama mtu kamnyanyasa mtoto kwa kupiga na kuacha makovu ama ya kufinya au viboko.

nawasilisha kwa upole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…