Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2.
Niseme tu kuwa, natamani siku karia au kiongozi yeyote wa TFF apigwe ngumi ya pua na mchezaji au kiongozi wa timu.
Kama tu Haji Manara alifungiwa kwa kurushiana maneno na Rais wa TFF sembuse tukio kubwa la kumpiga Kocha ngumi usoni? Maoni yangu; alistahili kufungiwa maisha kutokujihusisha na soka.
Uongozi wa TFF na jopo lake ya kamati ya maadili ni zaidi ya uozo.