Son of Gamba JF-Expert Member Oct 26, 2012 4,720 6,952 Jan 1, 2017 #1 Huyu Actress aliyecheza movie ya X-Men: Apocalypse, namfananisha sana na Chemical yule mwanamuziki wa kikie wa Hipo hop wa bongo fleva. Mcheza movie huyu wa Hollywood anajulikana kwa jina la Alexandra Shipp. Hebu tazameni picha zao hapo chini na muone kama hawajafanana. Attachments Alexandra-Shipp-in-X-Men-Apocalypse.jpg 35.8 KB · Views: 156 chemical-mary-.jpg 16.5 KB · Views: 123
Huyu Actress aliyecheza movie ya X-Men: Apocalypse, namfananisha sana na Chemical yule mwanamuziki wa kikie wa Hipo hop wa bongo fleva. Mcheza movie huyu wa Hollywood anajulikana kwa jina la Alexandra Shipp. Hebu tazameni picha zao hapo chini na muone kama hawajafanana.
dexterous JF-Expert Member Feb 26, 2014 2,037 3,132 Jan 1, 2017 #3 Wanachofanana labda hivyo viduku hapo kichwan
Mr.Wenger JF-Expert Member Nov 20, 2014 2,558 6,091 Jan 1, 2017 #7 Unasema wamefanana lakini ukiambiwa uchague utachagua wa juu
Nosta Member Sep 8, 2016 78 78 Jan 1, 2017 #10 Mr.Wenger said: Unasema wamefanana lakini ukiambiwa uchague utachagua wa juu Click to expand...
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Jul 26, 2012 21,033 64,844 Jan 1, 2017 #12 Kafanana sana na Emeli Sande.......
Mwalupale JF-Expert Member Apr 29, 2012 1,049 674 Jan 1, 2017 #16 Mbona hakuna mfanano? Mi nimempenda huyo wa hapo juu
uncle..m Senior Member May 6, 2015 140 133 Jan 1, 2017 #17 mzaramo said: Wewe ndio Rapper Stereo?! Click to expand... khaaa
tya02 JF-Expert Member Nov 26, 2014 850 1,061 Jan 1, 2017 #18 MANCNOO said: Duuh!!wanafanana kama Doto na Doi!! Click to expand... Hahahaha msukuma hahaha shija haha
MANCNOO said: Duuh!!wanafanana kama Doto na Doi!! Click to expand... Hahahaha msukuma hahaha shija haha
hiltonh247 Senior Member Mar 11, 2015 154 28 Jan 4, 2017 #19 MALCOM LUMUMBA said: Kafanana sana na Emeli Sande....... Click to expand... Exactly
McDonaldJr JF-Expert Member Sep 25, 2013 6,388 7,557 Jan 4, 2017 #20 Uyo wa chini akipigwa msasa vizuri na rangi ikapigwa ki-ufundi nahisi atafanana na wa juu kweli.