Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 654
Muda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana.
Tusiwalaumu Chadema, Wakifungua ni kama kujilisha Upepo tu.Hongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
Chadema kamwe hawawezi kupewa leseniHongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
CCM TV yenu ipo wapi?Hongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
HongereniMuda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana.
Upo sahihi kabisaChadema kamwe hawawezi kupewa leseni
Channel 10.CCM TV yenu ipo wapi?
Channel 10CCM TV yenu ipo wapi?
Chadema ilikuwa na magazeti yake yakawa yanafanyiwa zengwe na kufungiwa kwa miaka 3+. Sasa unadai redio na TV za chadema zingeschwa salama?Hongera kwa ACT, chadema chama kizee kabisa kimeshindwa kuyafanya haya wao wanapingezana kwa safu ya Uongozi kumiliki MAHEKALU TU.
Wana Channel Ten haoCCM TV yenu ipo wapi?
TBC1 🤣Hongereni
Ilipatikanaje?Channel 10
Tulipewa na Mandela alliposhika Uraisi kana asante kwa kuwasaidia kupigania uhuruIlipatikanaje?
Kwahiyo cdm wasilaumiwe maana hawajapata wa kuwapa msaada.Tulipewa na Mandela alliposhika Uraisi kana asante kwa kuwasaidia kupigania uhuru
Shida media za chadema zilikuwa zinatumia lugha mbaya + zilikuwa na uongo sana,Chadema ilikuwa na magazeti yake yakawa yanafanyiwa zengwe na kufungiwa kwa miaka 3+. Sasa unadai redio na TV za chadema zingeschwa salama?
ACT ni ccm B, hivyo kila kitu kinawezekana.
TBCCCM TV yenu ipo wapi?
Online Tv?Muda mfupi ujao kabla ya uchaguzi mkuu ACT-WAZALENDO kuzindua TV na radio yao hii ni hatua nzuri kwa chama cha upinzani na itawasaidia kufikisha ujumbe mjini na vijijini hongereni sana.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mchinjita: ACT Wazalendo haitumikii CCM tulimpa nafasi Rais Samia lakini hajatekeleza