SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 6,631
- 10,840
NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya.
Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti tu kwa kuingia makundi. Point zinaanza kuhesabika baada ya hatua ya makundi kuisha, pale ndiyo inajulikana anayeenda robo fainali anapata point ngapi, aliyeshika nafasi ya tatu anapata point ngapi na aliyeshika nafasi ya mwisho anapata point ngapi. Ukianza kutoa hizo point sasa hivi huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu hakuna anayejua mpaka sasa timu hizo zitaishia nafasi ya ngapi katika makundi.
Ranking za FIFA za kufuzu FIFA Club World Cup ndiyo zinatoa point kwa kila mechi kuanzia hatua ya makundi na pia kwa kila hatua timu inayovuka kuanzia kuingia hatua ya makundi.
Watu wanavamia Wikipedia na kuedit ili kupotosha.
Nimemaliza.
NYONGEZA: Timu zinazoweza kushusha rank ya Simba zinazidi kupungua. Petro katolewa mashindanoni. Tunaombea Yanga ikutane na Mamelodi hatua ya makundi na tunajua itaenda kutaka kulipa kisasi na kuizuia kuingia hatua ya makundi. Hao Berkane, Zamalek, USMA tutadeal nao wenyewe. Msimu ukiisha, Simba itakuwa ya tatu kwenye rank za CAF. Hifadhi hii comment.