Acha kujiona bora kuliko wengine

Mr George Francis

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
234
378
ACHA kujiona BORA kuliko WENGINE

Je, huwa una tabia ya kujiona bora kuliko wengine? Basi ngoja nikuchane mwanangu... Mafanikio uliyonayo yasikupe kiburi ukaanza kujiona kuwa umemaliza na kuanza kudharau wengine.Ebu elewa kwamba....
  • Kama ni pesa, kuna watu wana pesa kuliko wewe.
  • Kama ni elimu, kuna watu wana elimu kubwa na bora kuliko wewe.
  • Kama akili, kuna watu wana akili kuliko wewe.
  • Eti umefanya makubwa! Kuna watu wamefanya makubwa na mazuri kuliko wewe na wameacha alama zisizofutika kwenye mioyo ya watu kuliko wewe.
  • Kama umaarufu, kuna watu ni maarufu sana kuliko wewe.
  • Kama ni nyumba au gari kuna watu wanazo kubwa, nzuri na za kifahari kuliko wewe.
  • Kama ni uongozi, kuna watu ni viongozi wa heshima kuliko wewe.
  • Kama kipaji, kuna watu wana vipaji vikubwa kuliko wewe.
  • Kama ni uzuri, aisee kuna watu ni wazuri na wana mvuto kuliko wewe.
Yaani, kwa ufupi hicho ulichonacho kuna watu wanacho cha zaidi yako halafu wala hawaringi kama wewe.

Jifunze kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kile alichokujaalia na azidi kukitunza kisije kupotea. Kitumie kwa busara na kujali wengine, usidharau watu. Ni kweli kuna watu umewazidi kwa hicho unachoringia lakini ni kweli pia kuna watu wengi wamekuzidi. Elewa maisha yanabadilika. Ambaye hana leo kesho anaweza kupata na uliyenacho leo, kesho unaweza kukosa.

Live humble my friend, respect everybody.

It's me
Mr George Francis
A Lawyer and LifeCoach
Contacts: 0713736006
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
 
Amen. Amen . Ujumbe umefika. Thanks bro
 
Hizi mada humu leo zimetolewa wapi?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom