Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,805
- 8,792
Wasalaamuu....
Dunia inaenda kasi sana, Makosa yalifanyika kufanya "KIIGNILISHI" kuwa lugha ya dunia, Hii inaumiza sana watu ya dunia ya 3 hususani Wananchi wa Kizimkazi.
Juzi niliona "Twita" madaktari wamechachama wanadai pesa ni ndogo wanayolipwa "it might be true" ila nikajiuliza "Dakitari" unalalamika, moja kwa moja nikajua Lugha ndio mchawi (Kataa kubali) huna kimbilio lingine zaidi ya Tamisemi. kuna taasisi nyingi sana nje na ndani ya nchi zinazoajiri hawa watu kila kukicha ila "fluency in English is must" "Bunch of Tanzanian arent fluent but we just splice English words to make sentences" kwanini tusilaumu Serikali
Dunia ya sasa English ni kila kitu (Kataa/Kubali). China anajisufu ana uchumi mkubwa ila wamezagaa
"online" kujifunza English, wanajua bila english hawaendi popote, India ndio usiseme, Russia etc etc, Ni ngumu sana "m-UK" or (Native english speaker) ukamkuta anajifunza Kichina/ki-rusi/ki-Arabu etc wanafanya for"leisure"
Vijana tuliopo hakikisha watoto wenu/wetu wanajua lugha ya mkoloni vema, Hawatalaumu serikali kwasababu watakua na "options" nyingi, Jiulize kuna watu mmesoma nao vipanga ila mnalipwa "same scale of salaries" ila hana ujanja wa kutoka hapo kwakua kila analogusa "Ngeli inatakiwa" "HANA"
UDSM ya 37, Muhimbili ya 89, SUA na UDOM za 120+ tatizo Lugha kuandika research inatakiwa uwe na uwanda mpana wa lugha, "HATUNA" tunaamini vipanga ndio wapo mavyuoni ila vyo vipo mkiani "LUGHA TATIZO" sio kwamba hawana cha kuandika ,wanacho ila hakieleweki kwa "Native speaker"
KABLA HUJAMLAZIMISHA MWANAO KUPATA "A,A,A,A" hakikisha anajua Lugha ya mkoloni la sivyo ataishia tamisemi aanze kutukana serikali.