MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,156
- 35,595
Kwenu Tan Gen Zee
Wakati tukitafakari yanayojiri kwa wenzetu Kenya, ni vyema kutafakari mambo mengine ya msingi haswa kwenu nyinyi Tan Gen Zee
Nikisoma nyuzi nyingi humu naona kuna shida mahala, yaani kuna mahali watu hawafanyi kazi yao, pengine ni makasisi, wachungaji, masheikh, wazazi au walezi wa hao watoto wetu.
Yaani viungo vya uzazi (private parts) vya hawa watoto wetu Tan Gen Zee vinatumika kwa zaidi ya uhimilivu wake, hivyo kutishia uhimilivu na uendelevu wake, yaani over and above the perceived and agreed specifications. Hili ni tatizo la ki-taifa, na lina hitaji mkakati wa ki-taifa kufanikisha MATUMIZI HIMILIVU, STAIMILIVU NA ENDELEVU YA VIUONGO VYA UZAZI
Mtoto mdogo tu unakuta ana ma-bwana zaidi ya mmoja, analala na wanaume kabla ya kuolewa, anatumia matundu yote kufanyia ngono, yuko busy kwenye mitandao ya kijamii akionesha nyeti zake, anatumia private parts kama medium of exchange and tradeable item
Hakika, private parts zinahitaji matumizi himilivu, stahimilivu na endelevu kwa manufaa ya watumiaji wa sasa na wa baadae. Siyo vyema ku-exhaust matumizi ya private parts zako kwa kipindi kifupi ili hali bado zinaitajika siku zijazo
Hivyo ni rai yangu, mafunzo ya matumizi himilivu, stahimilivu na endelevu ya private parts yafanyike kwa Tan Gen Zee kwa manufaa ya kizazi cha sasa na cha baadae