Sijui TZ tutakuwa wapi.
Nafikiri USA anatumia mapesa mengi kwenye military expenditures ambako hakuna faida za kiuchumi zinazopatikana zenye kufidia input yake......Bila shaka jeshi la US pamoja na operation zake ni parasite kwa uchumi wa US.
Maisha ni kama gwaride, UK imefilisika.Kutoka kuitwa The empire where sun never set mpaka namba 10 ifikapo 2030. UK walikuwa super power, walitawala karibu dunia nzima, kwa saa zote 24 jua liliangaza kwenye walau moja ya himaya za UK lakini atakuja kuwa chini ya nchi alizozitawala kama India.
China ni unstoppable, anajua kula na vipofu.Keshajua mwafika ni masikini kwahiyo anamtengenezea kitu cha kuendana na umasikini wake. Wakati magharibi wana-maintain ubora wa bidhaa zao, China ana-adjust ubora wa bidhaa ili uendane na soko lililopo.