yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,659
- 3,705
Hapana. Sijasajili mkuu.Namba ya Japan hiyo,kuna website ya kuuza magari ulisajili namba yako ya simu?
Wakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana.
Je kuna ambaye anaijua hii namba? Labda ulishawahi kupigiwa na namba hii?
+81 3-6277-7455
Iliandika Tokyo wakati inaita.
DJ khaled uyoWakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana.
Je kuna ambaye anaijua hii namba? Labda ulishawahi kupigiwa na namba hii?
+81 3-6277-7455
Iliandika Tokyo wakati inaita.
Hiyo ni namba ya Japani na hiyo inayofuata ni eria code CITY ya KUMAMOTO.Wakuu hii namba ilinipigia lakini bahati mbaya katika mazingira nilipokuwa sikuweza kusikilizana nae huyu mtu, nikamwambia apige badae ila hakupiga tena. Binafsi nimejaribu kumpigia imeshindikana.
Je kuna ambaye anaijua hii namba? Labda ulishawahi kupigiwa na namba hii?
+81 3-6277-7455
Iliandika Tokyo wakati inaita.
Hiyo ni namba ya Japani na hiyo inayofuata ni eria code CITY ya KUMAMOTO.
Mmmmh hapa tutaletewa majina mengi na mazuri sana tena matamu mpaka tutatoka kwenye madaHili ndo jiji la KUMAMOTO.
Umenikumbusha kombe la dunia mwaka 2002 gazeti moja likimuezea Mbo Mpenza wa Ubelgiji "Mbo ndani ya Kumamoto"Hili ndo jiji la KUMAMOTO.
Ukipata na Picha ya Jiji la Nanihii-Baridi tuwekee tulinganishe pleaseHili ndo jiji la KUMAMOTO.
Nilipigiwa tena juzi, ila sikuwa karibu na simuIle kazi uloomba nje unaitwa interview mkuu kuwa na subira utapigiwa tena.