P phill JF-Expert Member May 25, 2011 1,364 620 Dec 28, 2016 #3 Waamerekani bwana!wao wameuwa red Indians mainline,ila hawajiweki
S shiiiii Senior Member Nov 26, 2016 124 59 Dec 28, 2016 #4 Kuna Hitler, musolin, Roosevelt, Stalin, George Bush sr na jr, John major, halafu eti id amin Sawa ila Hawa westerners wanaona wao wamepewa uhuru wa kuua ila wengine kosa la jinai
Kuna Hitler, musolin, Roosevelt, Stalin, George Bush sr na jr, John major, halafu eti id amin Sawa ila Hawa westerners wanaona wao wamepewa uhuru wa kuua ila wengine kosa la jinai