Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,745
Kutokana na hali ya kuendelea hali ya sintofahamu inayoendelea katika baraza letu.
Leo Hebu tujadili mbunge gani unatamani asirudi tena kwenye nafasi ya uwaziri na sababu ni ipi ?
1.UMMY MWAIMU
Nafasi hii imeonekana kama imempwaya kutokana na yanayoendelea katika utumishi wa umma.
2.NAPE MNAUYE
Nimeanza na hao wawili tupate sababu pia za kueleweka.