2020 ni uchaguzi wa wabunge na madiwani tu, Rais Magufuli ameshashinda

Jobongo

New Member
May 19, 2017
4
219
Mimi kama mfuasi mtiifu wa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla nawaomba tu focus kushinda ubunge na udiwani tu, kwa upande wa rais, CCM wameshashinda tayari baada ya Magufuli kufanya kazi nzuri na kukubalika na wananchi wa nyanja zote.

Sasa hivi kila kona ni Rais Magufuli kwa hiyo hamna namna yoyote ya kushinda.

CHADEMA tusipoteze pesa kusimamisha mgombea urais.
 
Kama kweli wewe ni chadema basi,jua hakuanzisha Magu ishu wanaume walishaianza ila ameifanya Leo hii kutafuta sympathy ya wananchi tu,maisha magumu,chakula bei juu,dawa hamna hospital,hali mbaya kila sehemu,atafanyaje ili watanzania kidogo waanze kurudisha imani
 

Attachments

  • VID-20170524-WA0021.mp4
    4.9 MB · Views: 34
Ungejua watu wanasubir Tanzania ya viwanda huku mtaani,wala usingepiga kelele hapa.Au ndio unataka kutusahaulisha kuhusu Budget mbovu isiyo na kichwa wala miguu?
 
Angalia video hiyoo
 
Sawa
 
Wachekesha kama Bashite
 
Reactions: BAK
Kwani ungeandika Pumba zako bila kuitaja CHADEMA na UKAWA zisingeeleweka?

Lijinga wewe.
 
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Naunga mkono hoja, hivi kweli kuna haja ya kufanya uchaguzi wa rais 2020, au tuokoe pesa kwa kumwacha Magufuli aunganishe tuu akamilishe kazi?.

P.
 
Mh jiandae kwa magunia ya matusi tu hapo. Maana umemwaga pipa la oil chafu barabarani
 
Lumumba mna kazi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…