BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,790 288,126 Mar 5, 2017 #1 Electronic Diversity Visa Lottery Kila la heri na baraka kwa wote ambao mtajaribu hii kitu ili kupata permanent residence ya USA na hatimaye uraia kama utaweza kutimiza masharti yote husika ikiwemo kutokuwa na criminal record.
Electronic Diversity Visa Lottery Kila la heri na baraka kwa wote ambao mtajaribu hii kitu ili kupata permanent residence ya USA na hatimaye uraia kama utaweza kutimiza masharti yote husika ikiwemo kutokuwa na criminal record.
dyuteromaikota JF-Expert Member Apr 30, 2013 5,927 8,307 Mar 5, 2017 #3 Sijaangalia status. Hivi kwa hii dv 2018 kunaweza kuwa na status yoyote kwa sasa!?