Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
taarifa gani?Ngoja wasaidiz wake wampe tarifa
Wewe wataka kumpelekea taarifa gani kwani?taarifa gani?
Viongozi wa wakati ule walikuwa washamba , hawa wa sasa ni wajanja na wajuaji .Mwanka 2009 ulikuwa mwaka ambao baadhi ya maeneo ya Tanzania yalikumbwa na Ukame wa hali ya hatari. Mashamba mengi yalikauka na mifugo mingi ilikufa. Maeneo yalikuwa na njaa yalikuwa ni manyara, karatu, rombo, kiteto, babati, mobduli, longido, hanang, arumeru, simanjiro.
Hata hivyo serikali iliweza kutoa Tani 60,000 kama msaada wa chakula kwa wahanga wa hayo maeneo yaliyokumbwa na njaa. Sina kumbukumbu kama kipindi hicho serikali ilikuwa na shamba.
Yani Tani 60,000 zilizokuwa ziliweza kutosheleza mkoa wa Arusha na kilimanjaro.
Kutokana na report ya chakula kilichopo kwenye maghala ya serikali. Kuna tani 90,000. Hiki kinatosha mikoa mitatu kwa sasa kama janga ka njaa halitakuwa kubwa na kwa muda mrefu.
muulize Jose tajiri mi sijamuelewaWewe wataka kumpelekea taarifa gani kwani?
Mwacheni Nebkadneza wa watu jmnKiburi kina mwisho, mamlaka aliyonayo yanatoka kwa watu hawa hawa anaowaita wenye mikosi na majanga
Kwani umeambiwa watu wenye njaa hawafanyi kazi?Mkuu soma alama za nyakati, nyakati zimebadilika saizi bila kufanya kazi hauli na kwamba serikali haileti mvua...
Watanzania kwa unafiki watu watakufa na njaa huku wakishangilia utumbuaji majipu. Watu wataingia kaburini na tabasamu la uongozi uliotukuka huku wakifa kwa njaa