2004 TOYOTA RAV4

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
Make : Toyota

Model : Rav4

Mileage :96000km

Engine size: 1990cc


Gasoline : Petrol

Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )

Transmission : Automatic


M/Year : 2004

Doors : 4

Seats : 5

FEATURES :

Air Conditioner

Power steering

Power Windows

Alloy wheels
Leather seats
CD player

Sunroof
Airbag

Radio

Dvd
ABS

Tv



Bei Tshs 18,000,000


imejumuisha :

Ushuru

Marine insurance


registration

Bima ya barabarani




Karibu



Contacts;-


ecarstanzania@gmail.com


 
Hiyo gari chini ina turbines za kuelea majini kuendea Zanzibar, ndio maana wameiwekea marine insurance.
 
4 doors or 5 doors?
 
Mimi MAGARI7

sitahusika kwa tatizo lolote lile litakalo jitokeza iwapo mtu atafaNya biashara na mtu mwingine ambae ameweka tangazo lake kupitia post yangu.

Nina email moja tu ya kazi
ecarstanzania@gmail.com email yeyote nje ya hii kwa issue za kikazi. Ujue sio Mimi.

Hivyo naokba muwe waangalifu.


Ahsante
 
Hiyo gari chini ina turbines za kuelea majini kuendea Zanzibar, ndio maana wameiwekea marine insurance.
Habari,

Hapana, haina maana hio.
Hii inamaana kuwa, pindi gari liwapo kwenye meri. Likipatwa na chochote au wizi wa namna yeyote ile kwenye gari husika.

Basi kampuni husika ya hio meri italazimika kulipa fidia ya upotevu ama uharibifu utakao tokea pindi gari ikiwa mikononi mwao.

Nadhani umenielewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…