MAGARI7 JF-Expert Member Mar 5, 2016 2,401 1,303 Jun 23, 2017 #1 Make : Toyota Model : Coaster Mileage : 317,503km Engine size: 4,160cc Gasoline : Diesel Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 2000 Doors : 2 Seats : 29 FEATURES : Air Conditioner Power steering Power Windows Alloy wheels Leather seats CD player Sunroof Airbag Radio Dvd ABS Tv Bei : Tshs 40,700,000 imejumuisha : Ushuru Marine insurance registration Bima ya barabarani ecarstanzania@gmail.com Karibu sana!!
Make : Toyota Model : Coaster Mileage : 317,503km Engine size: 4,160cc Gasoline : Diesel Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual M/Year : 2000 Doors : 2 Seats : 29 FEATURES : Air Conditioner Power steering Power Windows Alloy wheels Leather seats CD player Sunroof Airbag Radio Dvd ABS Tv Bei : Tshs 40,700,000 imejumuisha : Ushuru Marine insurance registration Bima ya barabarani ecarstanzania@gmail.com Karibu sana!!
MAGARI7 JF-Expert Member Mar 5, 2016 2,401 1,303 Jun 23, 2017 Thread starter #4 dabluz said: Mkuu tupiamo tu picha basi Click to expand... Habari, zipo hapo please zicheki utaziona
Super Sub Steve JF-Expert Member Jul 9, 2011 17,404 10,900 Jun 23, 2017 #5 Hivi kwanini Mileage Za gari Za abiria Huwa ni kubwa sana ukilinganisha Na hizi ndogo Za familia. Kwa hizo mileage inakuwa haijachoka?
Hivi kwanini Mileage Za gari Za abiria Huwa ni kubwa sana ukilinganisha Na hizi ndogo Za familia. Kwa hizo mileage inakuwa haijachoka?
A akidai JF-Expert Member Oct 10, 2015 262 51 Sep 11, 2017 #6 Kwaiyo faida yako ni 5 m,fanya 2m uahize lingine haraka Sent using Jamii Forums mobile app
Guantanamo Sobibor JF-Expert Member Aug 20, 2017 897 1,133 Sep 11, 2017 #7 Super Sub Steve said: Hivi kwanini Mileage Za gari Za abiria Huwa ni kubwa sana ukilinganisha Na hizi ndogo Za familia. Kwa hizo mileage inakuwa haijachoka? Click to expand... swali lako halina mashiko ndugu its obvious gari ya abiria inafanya safari nyingi na inatembea zaidi kuliko hata gari ndogo za familia
Super Sub Steve said: Hivi kwanini Mileage Za gari Za abiria Huwa ni kubwa sana ukilinganisha Na hizi ndogo Za familia. Kwa hizo mileage inakuwa haijachoka? Click to expand... swali lako halina mashiko ndugu its obvious gari ya abiria inafanya safari nyingi na inatembea zaidi kuliko hata gari ndogo za familia
Clarity JF-Expert Member Jul 6, 2010 1,824 2,631 Oct 2, 2017 #8 Je una Coaster kama hii ambayo tayari ipo nchini if yes naomba nijue utaratibu wa kuja kuiona
Guantanamo Sobibor JF-Expert Member Aug 20, 2017 897 1,133 Oct 2, 2017 #9 Clarity said: Je una Coaster kama hii ambayo tayari ipo nchini if yes naomba nijue utaratibu wa kuja kuiona Click to expand... nnayo kama hiyo nicheck Whatsapp 0715292210 kwa ajili ya picha za gari na maelezo zaidi.
Clarity said: Je una Coaster kama hii ambayo tayari ipo nchini if yes naomba nijue utaratibu wa kuja kuiona Click to expand... nnayo kama hiyo nicheck Whatsapp 0715292210 kwa ajili ya picha za gari na maelezo zaidi.