2 Chipped Xbox 360 consoles 260k kila moja

marandu2010

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
1,201
446
Kuna Xbox 360 zimechipiwa,zina games zaidi ya tano ndani,zina pad Moja moja,cables na adaptors, machine hazina tatizo lolote na naziuza kwa bei ya kutupa 260k kila moja,no 0658327429,nipo DSM vingunguti.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya x box na ps ni nini? Au ubora wa picha ya x box kwa mfano unapocheza game ya mpira unalingana na ps ipi 2 au 3 au 4 naomba jibu

Sent using i Phone x
 
hyo ni kama unavyona samsung na iphone upand wa games na hawo ndio wabab Xbox ni Microsoft Ps sony

Sent using Jamii Forums mobile app
xbox 360 inaendana na ps3 exactly kila kitu,xbox 1 inaendana na ps4,xbox consoles ni imara zaidi na zina toa picture ktk quality ya 1080p,wkt mpinzan wake ps3 huwa anashuka mpk 720p,vifaa kama controllers za xbox ni ghali lkn vinadumu muda mrefu,kiufupi xbox ni roho ya paka na ni mbadala wa ps3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom