1zz vvti engine rattling noise msaada

Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Jan 19, 2018
371
502
Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing belt haijavutika bado iko vizuri, Anahitajika fundi mwenye akili na aliyewahi kutatua tatizo la kelele za kama mkanda lakini zinatokea ndani ya engine upande wa kushoto.
 
Tafuta fundi magari mzuri.....
 
ndio natafuta fundi mzuri lambardi fundi nilionao naona kofia inawazidi kimo, yaani gari wana fanya trial and error.
 
Yangu nimebadili belt lakini baada ya muda hako ka mlio kamerudi tena kanaboa kweli hapa nataka nibadili belt size ndogo inayofuata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom