10% ya wakazi wa Iceland wako France

Cesc Henry Sn

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
217
123

Uchaguzi wa rais nchini Iceland ukiwa umefanyika tarehe 25 Juni 2016 na Profesa wa Historia Guðni Jóhannesson kuibuka mshindi kwa asilimilia 39.1 ya kura zilizo pigwa katika nchi hiyo yenye idadi ndogo ya wakazi 332,529.


Huku mmoja kati watu 10 ya wapiga kura wako mbali nchini Ufaransa, ambapo timu ya taifa lao inakutana na Uingereza kwenye michuano ya ulaya jumatatu usiku.

Ikiwa ni rekodi nchini humo kutokea ya wapiga kura wengi kuto kuwepo kwenye uchaguzi, pamoja serikali ya Iceland kupanga kwa utaratibu kwa wachezaji na benchi la ufundi kuweza kupiga kura wakiwa huko huko nchini Ufaransa na kuto fahamu kama kutakuwa na kundi la raia wao kwenda kuishangilia timu yao ambayo ilikuwa inachukuliwa kama vibonde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…