10 Weakest currencies in Africa 2017 list

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,519
Nimessoma kwenye Youtube na kugundua kuwa kumbe hela yetu ya Tanzania thamani yake ni ndogo sana ukilinganisha na Dollar za Kimarekani. Ifuatayo ni orodha za nchi za Kafrika ambazo thamani ya hela zao ni ndogo ukilinganisha na Dollar za Kimarekani:-
1. Central Afirca 1$ 820
2. Rwanda 1$ 820
3.DRC Congo 1$ 1300
4. Burundi 1$ 1700
5.Tanzania 1$ 2250
6. Madagascar 1$ 3200
7. Uganda 1$ 3600
8.Sierra Leone 1$ 7500
9. Guinea 1$ 9300
10. Sao Tome & Principe 1$ 23,000
Tunatakiwa tuweke mkakati ili thamani ya hela yetu iweze kuimarika.
 
Ukitaka ujue vipesa vyetu vya kijinga uwe unahitaji huduma kwa dollar vi m10 utaviona vya kijinga saana.
 
Mbona Zimbabwe haipo, your list is cooked.
 
Zimbabwe haipo? Au imerecover? Hii c ndio ilishawah kutokea hivi karibuni kuna noti ya m1? Naomba kujuzwa wadau
 
Nilijisikia aibu kubwa sana siku nilipoulizwa elfu 10 ya To unaweza kununua kitu gani cha thamani ukilinganisha na Rand (South Africa) ya nchini kwake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…