1. Ukiangalia kwenye masinki ya toilet haya ya kwenye choo cha kisasa utaona kuna maji ndani hata ukiflash bado utaona maji hata swali hayo maji mle kwenye lile shimo yanatoka wapi?
2. subwoofer.. ukiweka sabwoofer chumbani ukikaa uoande moja hasahasa wa kushoto utasikia mdundo zaidi ya upande mwinginebhii insababishwa na nn na je nn kifanyike ile mdundo huo huo unaosikika kwenye uoande moja usikike upande mwingine