1.kuhusu sinki la choo 2.kuhusu subwoofer

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,585
1,767
1. Ukiangalia kwenye masinki ya toilet haya ya kwenye choo cha kisasa utaona kuna maji ndani hata ukiflash bado utaona maji hata swali hayo maji mle kwenye lile shimo yanatoka wapi?

2. subwoofer.. ukiweka sabwoofer chumbani ukikaa uoande moja hasahasa wa kushoto utasikia mdundo zaidi ya upande mwinginebhii insababishwa na nn na je nn kifanyike ile mdundo huo huo unaosikika kwenye uoande moja usikike upande mwingine
 
Kunakua na kamlima kaka kwenye sink la choo, unapoflush maji hupanda kale kamlima kutokana na pressure then ndio yanadumbukia kwenye bomba linalosafirisha uchafu.

Si maji yote yanapanda hiko ki-mlima ndio maana mengine yanabaki. Kuna wakati kama yana pressure sana utaona kama maji yanaondoka yote then mengine yanarudi, ina maana yamerudi sababu yameishia kati kati kwenye mlima

toilets-00.jpg

Angalia hio pic.

Kuhusu subwoofer kama sjakupata vizuri, unamaanisha ile yenyewe subwoofer au vile vispika vyake?
 
1. Ukiangalia kwenye masinki ya toilet haya ya kwenye choo cha kisasa utaona kuna maji ndani hata ukiflash bado utaona maji hata swali hayo maji mle kwenye lile shimo yanatoka wapi?

2. subwoofer.. ukiweka sabwoofer chumbani ukikaa uoande moja hasahasa wa kushoto utasikia mdundo zaidi ya upande mwinginebhii insababishwa na nn na je nn kifanyike ile mdundo huo huo unaosikika kwenye uoande moja usikike upande mwingine

Pressure in liquid is Trasmitted equally in all directions, hiyo ni sheria kwenye physics, inamaanisha kwamba kuna maji yanayoshindwa kupanda kwenye ile Bomba la kuelekea kwenye chamber kutokana na kuwa na muinuko wa upenyo kwenye sink, hivyo kiasi cha maji kinarudi upande wa pili wa yalikoingilia.

Lengo la haya maji yanayobaki:
1.Kuweka sink katika hali ya ubichi ili uchafu usigande
2.kuzuia harufu mbaya kutoka kwenye chamber isirudi chooni.
sheria hii inatumika sio katika masink ya chooni tu, bali hata kwenye masink ya kuogea, masink ya bafuni, na masink ya jikoni ya kuoshea vyombo.
 
2. subwoofer.. ukiweka sabwoofer chumbani ukikaa uoande moja hasahasa wa kushoto utasikia mdundo zaidi ya upande mwinginebhii insababishwa na nn na je nn kifanyike ile mdundo huo huo unaosikika kwenye uoande moja usikike upande mwingine

Kuhusu Subwoofer na mdundo,

Hii inaitwa Accoustic of a building, na inasababishwa na sauti kuakisiwa (reflection) na kusharabiwa (Absorption) na kuta za nyumba pamoja vitu vingine vigumu na vilaini.

Ni vigumu kukuambia kwamba ufanye nini ili kupata mdundo sawia katika pande zote za nyumba, kwani subwoofer hutegemea zaidi mazingira ili kutoa mdundo fulani.

Kwa ushauri:

Weka subwoofer chini kwenye floor kabisa, yaani iwe ipo chini kuliko kitanda, meza,sofa etc etc, hakikisha lile tundu la subwoofer halijafunikwa na chochote zaidi ya kitambaa chake kama kipo.
zile spika ndogo (Sorrounds) zikae juu hata kwenye meza au kama ni ndefu zikae tu chini.
 
Back
Top Bottom