Salaam wadau,
Mimi ni mgeni kwenye kilimo cha kahawa nimeamua nilime kahawa kama sehemu ya kujiwekeza kupitia kilimo.nauliza zipi changamoto za kilimo cha kahawa na zipi ni faida za kilimo cha kahawa?
Nawasilisha
Nahitaji kupanda miche ya kahawa/buni. Naomba kufahamu mbolea za kiwandani zinayotumika kwa upandaji.
Naomba pia kufahamu kipimo kinachofaa kwa kupandia kwa kila mche/shimo moja.
Soma Pia: Nimepanda kwa kutumia mbolea isiyofaa, hatua gani nichukue?
Na Bwanku M Bwanku
Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa.
Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa ilikua inagotea kuishia 1,100 kuzunguka hapo lakini leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.