Huu ndio ukweli mchungu mbumbumbu fc wanaenda kuaga mashindano haya ya looser kama kawaida Yao Kwa aibu ya mwaka ambapo itakutana na kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa wababe Hawa kutoka misri kinachosikitisha mbumbumbu wataaibika kwenye kombe la kina mama
Ningependa mbumbumbu wanaoicheka Yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa wanitajie timu ambazo zingeweza kuipa Yanga hii changamoto yoyote Ile kwenye kombe ilo walilopo la washindi wa 3 na 4!
Nimemuondoa Zamalek kwakuwa ndio timu pekee ambayo ingeweza kupambana na Yanga...
Klabu ya Zamalek Imefanikiwa kutwaa Ubingwa Wa Super Cup Mara Baada ya Kuwafunga Mahasimu Wao Wa Jadi National Ahaly.
Mechi Ilitamatka Kwa Kutoa Suluhu ya Goli Moja Kwa Moja Ndani ya Dakika Tisini Na Mchezo Kuamuliwa Na Penati Ambapo Zamalek Amefanikiwa Kupata Penati 4 Kwa 3
Soma Pia: Al Ahly...
Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli.
Karne ya 20 iliisha 31/12/2000. Katika mafanikio ya Al Ahly hadi kufikia tarehe hiyo, katika mashindano...
Habari wanajukwaa!
Kuna Msemo Maarufu sana kwenye Lugha Yangu Adhimu ya KISUKUMA unasema "KASEKASEKA KA LILALILA" Ukiwa na Maana ya kwamba Utanitani Kama unachekacheka hivi Mwishoe utalia tu.
Wanasimba Chukueni huo msemo kaeni nao halaf angalien ZAMALEK Leo hii Kila Mtu anajipigia tu saiv wa 9...
Mortada Mansour
Rais wa Zamalek, Mortada Mansour amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela katika kesi aliyoshtakiwa na Rais wa Al Ahly, Mahmoud al-Khatib.
Mansour, ambaye ni Mbunge wa zamani alikuwa akitumia nafasi yake hiyo kuzuia kushtakiwa lakini baada ya kupoteza katika uchaguzi wa Mwaka...
Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez.
Lengo lao kubwa ni yule dada aondoke, sasa anaondokaje ni kumuabisha kwa matokeo haswa mechi vs utopolo, sasa angalia...
MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu nchini Misri, Zamalek wameilipa Dola za Kimarekani 50,000 (sh. milioni 116) kwa klabu ya Burundi ya Flambeau du Centre kwa kukubali kucheza mechi zote mbili za hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika nchini Misri kwenye Uwanja wa Borg El Arab.
Hapo awali klabu hiyo...
Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza
Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round...
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika.
Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.