Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo.
Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es Salaam baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa kiwanja hicho.
Mhe...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja ukuta wa kiwanja namba P18618, eneo la Kigogo, baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa umiliki.
Akizungumza na wananchi leo...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekabidhi Hati za Haki Miliki za Kimila kwa wananchi 700 wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo amewataka kuzitunza Hati hizo ili ziendelee kuwa msaada kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Akizungumza wakati wa zoezi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuondoa kwenye nafasi yake Afisa Ardhi wa Wilaya ya Korogwe, Nyambega Kichele, kwa kutokufuata utaratibu wa kutoa hati za ardhi na kusababisha migogoro.
Waziri Ndejembi amechukua hatua hiyo wakati wa ziara yake ya siku...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka Wathamini nchini kupunguza migogoro inayotokana na uthamini kwa kuhakikisha thamani halisi ya ardhi inayofanyiwa uthamini inajulikana.
Mhe. Ndejembi amesema hayo kwenye Mkutano Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wathamini...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Novemba 1, 2024 kilichofanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, Mhe Ndejembi amewataka wataalamu wa idara hiyo kufanya...
WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, Mhe. Deogratius Ndejembi amejiandikisha kwenye Daftari la Mpiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, katika kitongoji cha Mpela Wilaya Chamwino, Dodoma leo.
Zoezi hilo limeanza leo nchi...
KARATU
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Degratius Ndejembi ameelekeza mkazi wa Karatu mkoani Arusha mwenye viwanja Block 'J' mzee Desderi Damiano kuendeleza eneo hilo kwa shughuli za maendeleo kufuatia halmashauri ya wilaya ya Karatu kushindwa kumlipa fidia.
Waziri Ndejembi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa kusababisha mkanganyiko kwa kukosa uadilifu katika kutekeleza majukumu yake.
Waziri Ndejembi ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.