Wakuu,
Kwani kampeni tayari zimeshaanza?
Hivi karibuni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ametangaza mpango wa kujenga mabwawa makubwa katika Tarafa ya Isimani ili kuboresha kilimo cha umwagiliaji na kukabiliana na uhaba wa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya ACT Wazalendo na kupokelewa na Kiongozi wa Chama Ndg. dorothy Semu aliyeambatana na Katibu Mkuu...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera Bunge na Uratibu) William Lukuvi (Mb) Isimani ameendelea kuunga mkono kampeni ya kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutoa majiko ya gesi kwa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya kata ya mpira wa miguu katika jimbo la Isimani.
Waziri ametoa majiko...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe William Lukuvi akizingumza wakati akifungua maonyesho ya saba ya mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi mkoani Singida leo Septemba 10, 2024.
NA MWANDISHI WETU – SINGIDA.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa
Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao
1. William Lukuvi
Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi.
Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
Kwako Waziri was ardhi mheshimiwa Lukuvi.
Kumekuwa na ucheleweshwaji wa hati za umiliki wa ardhi kwa namna ya kimakusudi! Mtu unanunua ardhi , unalipia urasimishaji, mipaka inahakikiwa! Ukitaka hati sasa shughuli inaanzia hapo.
Umeshalipa urasimishaji lakini unaambiwa subiria hati zitatoka ila...
Kwa heshima kubwa napenda pole kwa kazi, sina mengi kwako ila nakukumbusha kidogo, ulivyo kuja Kivule Hapa DSM, Ili kujua zoezi la urasimishaji ardhi linaendeleaje, ulikuta baadhi ya wananchi wametozwa hela zaidi(mara mbili zaidi) kinyume na maagizo ya serikali.
Ulitoa tamko kali, kuwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.