wanawake jeshini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    Sijakisoma kitabu kihusucho Hayati Sokoine, ila nina mashaka na usemi kuwa ndiye mwanzilishi wa wanawake jeshini

    Jeshi la kujenga taifa lilianzishwa mwaka 1964 chini ya waisraeli pale Temeke ilipo kambi ya Twalipo, na kikundi cha kwanza kilikuwa na askari wanawake na wanaume na ndicho kipindi hicho wanawake walianza pia kuingizwa jeshi la wananchi wa Tanzania.
Back
Top Bottom