Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki.
Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1.
Bata wote hawa nawauza kwasababu za kuhama eneo hivyo ni vigumu kuwabeba ndio maana nalazimika kuwauza haraka.
Kwa mwenye...
Habari wafanyabiashara wa humu jukwaani.
Moja kwa moja kwenye mada.
Wanauzwa kuku wa Kienyeji wapo takriban 30, wenye afya njema kwabisa Ni wakubwa,wenye uzito na ujazo,utakaokuvutia wewe mnunuaji.
Kuku hao wote wanauzwa kwa kila mmoja shilingi elfu kumi na sita tu...16,000/-
Kuku Hawa Ni...
Wakuu habari?
Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo.
Idadi: 10
Umri: Miezi miwili na nusu.
Bei: @120,000/= (Maongezi yapo)
Eneo: Arusha, Themi Hill.
Karibuni wakuu!
UPDATES: Done deal..! Shukrani kwa ushirikiano wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.