Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking office za KAMPUNI ya Isamilo Safari ilianza vyema Sana hapakuwa na usumbufu wowote, usumbufu ulikuja...
Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi.
Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
Biashara ya mabasi ya abiria kwa Dunia ya leo si ya kushadadia ma mbio yasiyo na tija bali ni akili yenye wingi wa ubunifu ndaniye kwa mambo yatakayomvutia abiria taraji.
Mfano Sauli ni wazi alifilisiwa na madereva wake kwa kushadadia sifa za kijinga za mwendo kasi hali iliyosababisha mabasi...
Ukisikiliza kelele na malalamiko ya Wafanyabiashara wa route za Dar-Moro-Dom-Singida Wanavyoilaani Sgr na kulaumu Serikali unapata picha jinsi watanzania hatuna ubunifu Wala aggressiveness kwenye biashara.
Yaani route hiyo Moja tuu Kilio kana kwamba ni Nchi yote Ina Sgr,Sasa ikifika...
Serikali imeshindwa kuuendesha mradi wa mabasi ya haraka dar es salaam kwa ufanisi. Kwanini wasipewe watu mwenye uzoevu wa usafirishaji wa abiria wauendeshe?
Ili mradi huu uende sawa lazima uendeshwe kibiashara badala ya kisiasa. Mwendeshaji afanye upembuzi wa kujua gharama halisi (wafanyakazi...
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kimechukizwa na kitendo cha baadhi ya wamiliki wa mabasi kuwafukuza madereva kwa kudaiwa kutoa taarifa kwa mabasi mabovu kwa Vyombo vya Usalama Barabarani ambapo limesisitiza sheria kali kuchukuliwa dhidi ya mmiliki atakaye mfukuza dereva.
Deus...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala.
Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) mkoani Mwanza kimetaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), kubadili ruksa ya spidi barabarani kutoka kilomita 80 kwa saa hadi 100 kutokana na maboresho makubwa yaliyopo barabarani.
Akizungumza leo Katibu wa Taboa mkoani Mwanza, Anwar...
Kuna tangazo la kusitishwa kwa safari za train ya abiria safari za Dar - Kigoma kupitia mikoa kadha ya kuelekea bara.
Sababu wanazotoa ni miundo mbinu kuharibiwa na mvua. Swali la kujiuliza ni mvua gani zilizonyesha kuzidi awamu ya miaka 6 ya Magufuli? Mbona hatukuona usimamishaji wa safari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.