wakili kibatala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Wakili Kibatala: Nimemwambia Hakimu akasome Sheria vizuri kabla ya kufanya maamuzi ya Shitaka la Afande Fatma

    Kesi ya kuratibu genge la ubakaji kwa kundi na ulawiti inayomkabili Fatma Kigondo maarufu Kama 'Afande', imechukua sura mpya baada ya upande wa waleta maombi kumtaka hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Nyambuli Tungaraja kusaini hati ya mashtaka ili mtuhumiwa aweze kusomewa kesi yake popote alipo...
  2. K

    Ikipendeza Serikali imtumie Wakili Kibatala kwa zile kesi nje ya nchi

    Kesi anazosimamia Wakili Msomi Kibatala kwa asilimia 95 zinapata ushindi. Mara nyingi Wakili huyu anasimamia kesi za wapinzani lakini anapata ushindi. Kwa kuwa Tanzania tuko wamoja na nchi ni yetu sote ninaishauri SERIKALI imjumuishe Wakaili Msomi huyu kwenye zile kesi za Kamataifa dhidi ya...
  3. Malaria 2

    Kibatala ni Wakili mzuri lakini kinachomsumbua ni ubaguzi

    Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha: 1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? Hataki na yeye kupata haki? 2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza...
Back
Top Bottom