Uchaguzi mkuu ni fursa muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoongoza nchi kwa kipindi fulani. Katika kipindi hiki cha kampeni, wananchi wanapaswa kutumia fursa hii kuwauliza wagombea maswali magumu ili kupata uelewa wa kina kuhusu sera zao na maono yao ya kuongoza nchi. Andiko hili...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
Nilishuhudia mdahalo wa wagombea Urais wa TLS, uliofanyika katika kituo Cha luninga Cha Star TV, ukiongozwa na mtangazaji wao mahiri, Chifu Odemba, ulioendeshwa Kwa takribani masaa mawili na nusu, ambao ulikuwa mzuri sana na wa kiwango Cha kimataifa, ambao uligusa Kila aina ya nyanja ya taaluma...
Wakuu,
Mwakani wagombea Urais wanatakiwa kufanyiwa mdahalo kama huu ulioendesha leo na Star Tv.
Pia soma: Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
Kupitia mdahalo huo unaona kabisa huyu anafaa huyu amejaa pumba, na wengine wapo kwaajili ya kujaza nafasi tu...
Habairini za kazi ndugu Watanzania,
Ni maoni au mapendekezo yangu na baadhi ya Watanzania wachache pia ambao tupo advanced kimawazo, hakika ningefurahi zaidi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2025 kuwe na mdahalo kwa Wagombea wote wa Kiti cha Uraisi Tanzania.
Pia ningependekeza mdahalo uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.