wabakaji wa 4 mahakamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kesi ya waliotumwa na afande kubaka na kulawiti yaendelea leo

    Kesi ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, inayowakabili washtakiwa ‘wanaodaiwa kutumwa na afande’ leo Jumatatu, Septemba 2, 2024 inaendelea kusikilizwa. Wakili anayewawakilisha washtakiwa, Godfrey Wasonga amesema kuwa kesi...
  2. M

    Afande alikyewatuma wabakaji afunguliwa mashtaka

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na wakili Paul Kisabo dhidi ya afisa wa polisi ASP. Fatma Kigondo anayetajwa kama "afande Kesi ya jinai ilifunguliwa na Wakilin Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa polisi, ASPNFatma Kigondo anayetajwa kama "afande" inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo...
  3. chiembe

    Kwanini huyu anayesemekana kuwa ni mwanajeshi anayetuhumiwa kubaka alikuwa hajafungwa pingu? Na hao waliokuwa wanaongozana naye ni akina nani?

    Nimeangalia katika TV na mitandao ya kijamii, nimeona huyo anayeitwa mwanajeshi hajafungwa pingu. Ninachofahamu, mtuhumiwa akiingia katika chumba cha mahakama, ndio pingu hutolewa. Lakini kwa huyu ni tofauti, na pia ni kama alikuwa kaambatana na watu wawili wasiofahamika, mmoja ana tisheti...
Back
Top Bottom