Baada ya miaka mitatu bila vita nchini kwao., Wataleban wanasema wamechoka kukaa ofisini na sasa wanataka kupigana vita.
Msemaji wa Taleban Mullah Janan, alinukuliwa akisema "Tuna kiu ya vita sasa, tunatarajia tutapigana vita karibuni, tumechoka kukaa tu ofisini na tunategemea karibuni tutakuwa...