Salaam,
Ninao wateja wa uhakika kwa baadhi ya hotel za hapa D'salaam na makazi ya watu(apartiments nyingi)
Anatafutwa mpeleka mzigo kwa baadhi ya ofisi pale mtaa wa Nkurumah( Aura tower, Rissa tower....etc) na jengo la TPA posta.
Anitafute PM, kwa mawasiliano.
Pia kwa wanaohitaji mzigo kwa...
Kwa anae Lima viazi vitamu naombeni elimu.
Mbegu Bora ya kiazi kitamu ni ipi?
Inatunzwaje kuanzia kupanda kuweka mbolea mpka kuvuna kwake.
Je viazi vitamu uvunaji wake ukoje ili kitoke kiazi bila kumeguka meguka
Kwa yeyote mwenye elimu ya viazi vitamu naomba anitumie audio t maelezo Kwa kina...
Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo.
Bei zinakuwaje?
Gunia shiling ngapi?
Nahitaji ya kulima yapoje?
Ulaji wa viazi vitamu kwa kipindi kirefu unadaiwa kusaidia uzalishwaji wa mayai mengi kwa Mwanamke na hivyo kupelekea kupata watoto mapacha.
Jiji la Igbo-Ora lililopo nchini Nigeria ni jiji lenye mapacha wengi na Nigeria imepewa jina la mji mkuu wa Mapacha Duniani kwa kuwa na watoto mapacha...
Habari za muda huu wana jukwaa
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,kwamba kuna Shamba la viazi vitamu ukubwa wa ekari 21 linauzwa.
Shamba linapatikana mkoa wa Geita wilaya ya geita vijijini kata ya Nyalwanzaja.
Shamba lipo barabarani usafirishaji ni qa uhakika.
Viazi vimepandwa katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.