utenguzi rc simiyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kabende Msakila

    Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

    Team, Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko; Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja. Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na...
  2. Chakaza

    Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu anayetuhumiwa kulawiti imeishia Wapi?

    Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati. Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za...
  3. Mama Amon

    Yahaya-Tumsime Scandal and a challenge of rehabilitating the victims of anal rape and protecting survivors in Tanzania: A Ministerial Policy Brief

    Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), Former Simiyu RC, the alleged perpetrator of anal rape against the SAUT female student called Tumsime Mathias Ngemela Ms. Tumsime Mathias Ngemela(21), the victim of alleged anal rape in Mwanza, on 02 June 2024. I. Abstract Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), the...
  4. C

    Mkuu wa Mkoa Simiyu atenguliwa, Kenan Kihongosi achukua nafasi hiyo

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Bw. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Kabla ya uteuzi, Bw. Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba. Bw. Kihongosi anachukua nafasi ya Dkt. Yahaya...
Back
Top Bottom