utekaji na utesaji tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vincenzo Jr

    Kwako mkuu wa Nchi, Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini

    Haya matukio na Mauaji yanayoendelea nchini tena kwa kasi kubwa na hadharani kabisa na umekaa kimya sio sawa! Nchi yangu alafu niishi kuhofia uhai wangu kisa maoni yangu au siasa!?! Shame on you for this! Leading people on fear always backfires! 😏😡😡 Credit by T Soma Pia: Napinga Kauli ya Rais...
  2. Mi mi

    Msiojulikana mtajulikana tu, ni suala la muda

    Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu. Damu ya mtu sio maji ya kunywa, juice, soda ama pombe. === Mwanajeshi mmoja nchini Gambia, Luteni Malick Jatta amekiri kuua watu 50 mwaka 2005 kwa agizo la aliyekuwa Rais wa nchi...
  3. S

    Vipi polisi na familia zao nao wakaanza kutekwa huku mtaani?

    Yaani polisi wa Tanzania nawashangaa sana, ripoti ya CAG kila mwaka inataja wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao wengi wao ni watumishi wa serikali lakini hata siku moja polisi wetu hawa wenye ueledi huwezi ona wanaenda kushika wezi na hao mafisadi. Wizi na ufisadi wa mabilioni katika taifa...
  4. The Whistleblower

    Serikali Awamu ya Sita zuieni matukio ya utekaji wa wanaoikosoa Serikali, haileti picha nzuri

    Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako. Wakati wa Magufuli makumi ya watu wametoweka na hadi sasa hawajulikani walipo akiwemo Ben Saanane, na wote waliotoweka walikuwa wakosoaji...
  5. 4

    Rafiki wa karibu ni wewe mwenyewe na wazazi wako waliokuzaa

    Wakuu uwepo wa Mungu upo juu yenu Kwenye mada moja kwa moja wakuu Naomba kuweka hili jambo wazi, rafiki yako ni wewe mwenyewe, ongeza na wazazi wako basi. Unaweza kuwa na rafiki wa karibu wakakutenda, unaweza kuwa na ndugu wa karibu aka kutenda ila wewe mwenyewe huwezi ukajitenda, baba yako...
  6. 4

    Kunahitajika kauli moja ya Watanzania kuhusu matukio ya utekaji na kuumizwa

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki. Tanzania bila utekaji na kuumizwa inawezekana . Ipo vedio hivi ya kijana ambae inaonekana anajulikana kwa jina SATIVA ,simfahamu ila yupo na dam kama sie, Alitekwa 23/6/ 2024 kwa mjibu wa taalifa za hapa na pale pitia mitandao ya...
Back
Top Bottom